vendredi 24 janvier 2014

World news : Hii ndio nyumba aliyonunuwa RICK ROSS,imemgharimu milioni 1 ya dola za Marekani...



Atrace Tv imeweka hadharani nyumba ya Msanii kutokea Marekani Rick Ross mwenye umri wa miaka 37 anae ondoka na mitindo ya Hip hop , nyumba hiyo ina vyumba 109 ikiwa inapima m2 54,000 apo zamani ilikuwa ni nyumba ya Evender Holyfield na swimming pool (piscine) , chumba cha kujirusha (boite de nuit ) , kiwanja cha Basket ball , Saloon ambayo ina uwezo wakupokea watu 100 kwa pamoja .

Nyumba hiyo inapatikana Georgia pembezuni mwa Mji wa Atlanta , ilimgharimu pesa milioni 1 sarafu za dolla za kimarekani .

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire