vendredi 24 janvier 2014

Atlanta : Tizama picha za nyumba ya "P Square" mpya...


Paul na Peter OKOYE wasanii wawili kutoka Nigeria wanao unda jina la P SQUARE kupitia mtandao wao wa instagram wame post picha za nyumba zoao mbili waliyonunuwa Mjini Atlanta / USA . Waliandika ujumbe mzito unaosema :' ' Tunamshkuu mungu kuona ametuzawadia nyumba mbili hizi zakifahari , yote yanatokana nakujituma kwetu , kuithamini  na kueshimu kazi yetu . Wadau wa mziki wengi walikana kauli hiyo nakusema kuwa Wasanii hao ni miongoni mwa wale wano amini nguvu za jiza (illuminatie ), na nyota yao ilinga'ara baada tu mama yao kuiyaa dunia  . Fahamu ya kuwa baada yakuziweka hadharani picha ya nyumba yao ya kwanza waliyokuwa ndani iliyokuwa imetandwa na dhahabu pande zote , hzi mbili mpya wameashiria kuwa zinashinda ile ya mwanzo . Ifahamike kama tulivyo endelea tunapekeuwa kupitia jarida la TMZ , nyumba hizo zimejengwa kwa mix ya mawe ya diamant na dhahabu na asilimiya 80 ya vifaa vinakavyotumika kwenye nyumba hizo ni dhahabu.

Picha za nyumba hizo ni hizi :



Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire