mardi 28 janvier 2014

Tizama picha za mapokezi wa INTAMBA MURUGAMBA nchini Burundi kutokea South africa...


Timu ya Intamba Murugamba imewasili Jumaa-mosi asubuhi saa Tatu kwenye uwanja wa kimataifa wa Burundi . Walipokelewa na watu wengi ikiwa ndi kwa mara yake ya kwanza Burundi kushiriki kwenye mashindano ya Wachezaji wanaosakata gozi la nyumbani maarufu CHAN . burundi ilichuana match 3  zidi ya Gabon , Mauritania na DRC . Jumla ya michuano hiyo ikawa imejikusanyia alama 4 zidi ya 9 ,huku Gabon na DRC kujikusanyia alama 7 kila nchi . Burundi imeaga mashindano hayo kichwa juu baada yakuonyesha kandanda safi nakuridhisha mashabiki pande zote ulimwenguni .

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire