dimanche 19 janvier 2014

A.F.N.B / Ntahangwa : Matokeo,Ratiba, Msimamo na wafungaji bora Wiki ya 10 , msimo wa Ligi 2013 -2014...

Ligi inayochezwa pembezuni mwa Mto wa Ntahangwa ,barabara ya 7 Buyenzi msimo wa 2013 - 2014 inaendeleya vyema . Fahamu ya kuwa Ligi hiyo inachezwa kila siku , jumla ya Timu 16 zinawaniya ngombe ikiwa ndiyo zawadi nono kila msimo wa ligi unapo malizika . ila kinyume na ngombe hiyo kuna zawadi nyingi tofauti tofauti zinakuwa zikitolewa na ndiyo maana Kamati tendaji inayo ongozwa na Kiongozi JAMAL wanaomba makampuni na wapenzi wa Soka kwa ujumla wanao moyo , kutowa sapoti ili kampeni hiyo yakukutanisha Vijana wa Tarafa ya Buyenzi na tarafa zingine mbali mbali ifahanikishe . NDIKUMANA Hemedy Welos ,mchezaji wa zamani wa Maniema Fantastic na timu ya taifa anae jiusisha na jopo ya uandaaji wa ligi (Commission d'organisation ) anazitowa salamu za rambi rambi kwa raia wote ambao wanakuwa mara kwa mara wanawasili uwanjani kujioneya mitanange inayokuwa inazipambanisha timu hizo . Ally Khalfan , mmoja kati ya wana kamati anasisitiza Wawekezaji nama kampuni nchini kujitolea kwakufahanikisha kampeni hiyo ambayo malengo makubwa nikukutanisha vijana pamoja nakuwalinda nakujiusisha na mambo yasiyokuwa na faida nao . Kumbuka ya kuwa buyenzi ni Tarafa pekee kwenye jiji kuu Bujumbura inayo anda michuano kama hiyo inayokutanisha watu mbali mbali bila kujali kabila au rangi . Mh Mwevi , naibu Kiongozi nayeye vile vile anaomba watangazaji kwa ujumla wawe wakifika kujioneya mambo yanavyokwenda nakuyapeperusha matangazo ya Ligi hiyo . Kwa ujumla kamati nzima inaomba watu wajifkiye uwanjani kuona hali halisi ya mambo yanavyokwenda . Burundi beat inawa ahidi kuendeleya inakupasheni habari za ligi hiyo...

- Matokeo ya Wiki nzima iliyopita ni haya apa :

* Jumaa-tatu ,13/1/2014 ( Lundi ) : Man City 1 - 2 Abana b'Izuba

* Jumaa-nne ,14/1/2014 ( Mardi ) : 8 Simba 1 - 0 Shata Fc

* Jumaa-tano ,15/1/2014( Mercredi ) : Six kwa Six 0 - 1 Procobu

* Alkhamis, 16/1/2014 ( Jeudi ) : Deira 2 - 0 The Union boys 

* Ijumaa, 17/1/2014 ( Vendredi ) : Ten free market 7 - 0 Man City

* Jumaa-mosi ,18/1/2014( Samedi ) : New Black Stars 1 - 3 Shata Fc

* Jumaa-pili ,19/1/2014 (Dimanche ): 8 Simba 3 - 1 Santos

- Ratiba ya Wiki ya 11 hii apa :

* Jumaa-tatu ,20/1/2014 ( Lundi ) : Makita Fc - Ten free market 

* Jumaa-nne , 21/1/2014 ( Mardi ) : Interpetrol - The Boys family

* Jumaa-tano ,22/1/2014 ( Mercredi ) : Abana b'izuba - The Union boys

* Alkhamis, 23/1/2014 ( Jeudi ) : Santos fc - Lorenzia fc

* Ijumaa, 24/1/2014 ( Vendredi ) : 8 simba - New black Stars 

* Jumaa-mosi , 25/1/2014( Samedi ) : Ten free market - The boys Family

* Jumaa-pili , 26/1/2014 (Dimanche ): Deira - Makita fc

- Msimamo wa ligi / Wiki ya 10 ( 10e Journée )

---------------------------------------------------------------------

1) SHATA FC : 21 points * 16 buts * 10 matchs .

------------------------------------------------------------------------
2) PROCOBU : 18 points * 14 buts * 8 matchs .
------------------------------------------------------------------------
3) INTERPETROL : 17points * 18 buts * 8 matchs .
------------------------------------------------------------------------
4) TEN FREE MARKET : 13points * 18buts * 8 matchs.
-------------------------------------------------------------------------
5) THE BOYS FAMILY : 13points * 15buts * 7 matchs
-------------------------------------------------------------------------
6) DEIRA : 13points * 13buts * 9 matchs.
-------------------------------------------------------------------------
7) NEW BLACK STARS: 13points * 12buts * 8 matchs.
-------------------------------------------------------------------------
8) NTAHANGWA FC : 11 points * 12 buts * 8 matchs.
-------------------------------------------------------------------------
9) SIX KWA SIX : 11points * 9buts * 9 matchs.
-------------------------------------------------------------------------
10) MAN CITY : 10 points * 10 buts * 8 matchs.
-------------------------------------------------------------------------
11) THE UNION BOYS : 9 points * 8 buts * 8 matchs .
-------------------------------------------------------------------------
12) SANTOS FC : 9 points * 8 buts * 7 matchs .
-------------------------------------------------------------------------
13) 8 SIMBA : 8 points * 12 buts *8 matchs.
-------------------------------------------------------------------------
14) ABANA B'IZUBA : 7 points * 9 buts * 8 matchs.
-------------------------------------------------------------------------
15) MAKITA FC : 7 points * 7 buts * 6 matchs.
-------------------------------------------------------------------------
16) LORENZIA : 1 point * 9 buts * 8 matchs .
-------------------------------------------------------------------------

- Wafungaji bora :

1) YUSSUF NGOGA / 6 buts / New black Stars

2) SAMMY 5 buts / Shata Fc

3) HAMIMU MEZE 5 buts / Abana b'izuba

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire