mercredi 9 octobre 2013

KIDUM atafanyiwa operesheni hivi karibuni...

Kidum akiwa Kenyatta National Hospital.
Huu ni ujumbe mzito aliyo uandika mwanamziki Mrundi anaye ishi pande za nairobi / kenya :" La decision vient d'etre prise par le specialiste docteur Kioni de kenyatta hospital que je dois etre opere le plus tot possible . l'operation prendra place a Karen hospital . Prie pour moi les amis . " Akimaanisha kuwa lazima afanyiwe operesheni kwenye Jahanati ya Karen Mjini Nairobi baada yakukutana na Doctor nakumsauri afanye hivo . Apo awali KIDUM , msanii anayependwa zaidi kwenye kanda ya Africa mashariki alitangaza kupitiya ukurasa wake wakijamii wa facebook kuwa :" Nasimamamisha shughuli zangu zote za muziki kutokana na ugonjwa unao nisibu ,nawaomba mniombeye ninusurike."

Hakuishiya hapo KIBIDO aliangusha maombi akiandika :" Mana mushobora vyose ! Ntaco natanze kuri wewe ngo mvuke ndi muzima ,ntaco naguhaye ngo umpe ijwi nongere ntungwe naryo mukuririmbira amakungu yose aho ava akagera , hari benshi bavukanye ubumuga bwinshi butandukanye kandi arinabo bama bari imbere kugusenga no kugushimira kukuntu wama ubagirira neza bongera bahayagiza ubwiza bwawe Mana y'imbabazi .Ndishize mubiganza vyawe niwewe uzi igituma ibi vyose biraka biraba . Niwewe uzi imigambi ufise kuri jewe . Nibibe nkuko wewe ubishaka ntibibe nkuko jewe nshaka ! Imana ihabwe icubahiro ! "

Akimaanisha : " Mungu muweza wa yote! Hakuna nilichopana kusema nije duniani , hakuna nilichokupa ili unipe sauti nzuri niki itumiya kwakuimba ulimwenguni kote , wapo wengi walizaliwa na ulema tofauti na wao ndiyo wanakuwa mbele kwakukuomba kwakuzitowa shukrani kumazuri yote unayo watendeya nakutakasa uzuri wako Mungu wa uruma . Najiweka mikononi mwako kwani niwewe unafayehamu haya yote yanayo nifkiya . Ni wewe pekee unayejuwa mipango unayo kwangu mimi . Biwe gisi unavyotaka,namimi vile vile ! Mungu azidi kutukuzwa !

Ifahamike ya kuwa pini ya mwisho aliekuwa anarikodi  kabla yakutangaza habari hiyo inaitwa *Mbingu na dunia * alieshirikiyana na NIKIZA Bonfis . BB inamtakiya kila la kheri na fanaka...

1 commentaire:

  1. rema nkuko twamye tugukunda nubu turacagukunda,tuzogusengera kand uzokira mwizina
    rya Yesu christo

    RépondreSupprimer