mercredi 23 janvier 2013

SOUTH AFRICA: -Dj Pro:" Maji ukiyavulia nguo lazma uyaoge..."

Dj pro...


Kwa jina lake halisi RAMADHAN KIZA a.k.a Dj Pro ambae anatambulika sana kwa kazi zake nzuri alizozifanya akiwa nchini Burundi baada yakutumika na wasanii wanaofanya vyema nchini hapa kama Dee Rop,Black G,MKOMBOZ na FRANCK Gen80. Pini yake alioshirikisha Mkomboz na Franck Emy black 'Katoto ka mwaka mpya ' inafanya vyema kwa upande wawapenzi wa mziki wa burundi, nyimbo hio hadi mdaa huu inachezwa kwenye vilabu,vijiweni,kwenye migahawa,cyber cafe,Night club,viwanja vya michezo,Bus & taxi tofauti tofauti kwa sauti kubwa,shuleni wanafunzi wafurushwa kutokana na utamu wa pini hio (...aahhhhha...) .Juzi juzi tu alitufahamisha kuwa :"Ntarejea nyumbani hadi nimesha akikisha nime eneza vifao vya studio yangu mpya , alafu baada ya hapo na imani kukomaa vyakutosha katika game la mziki . Album yangu ya kwanza nikifika home insha'allah lazima ni iweke hewani,Kwa mdaa huu niko natumika na LASOUL (Mzulu),best Producer nchini hapa ambae amewazaa wasanii wengi wa hapo Burundi kama akina Dizzo na wengineo...niko natumika kwake bonge la pini litakalo itwa 'Sugar mamy' hadi tarehe 1/February itakuwa tayari, nyimbo hio ina ujumbe tosha,naomba  washabiki wangu na wasio kuwa wakwangu lazima niwafahamishe ilo kwani mimi ni najali wanao nipa sapoti na haswa haswa wale wanao niponda nakutonipa ukweli wao toka moyoni,siri kubwa ya maendeleo nikuwa na mipangilio sabiti,nina imani ya kuwa ntafika kwani 'Maji ukiyavulia nguo lazma uyaoge'."Alimalizia nakusema:" Niko natumika na Msanii kutoka Bongo pini hio anatambulika kwa jina la MIKE MALON alitamba sana pande hizi na nyimbo 'Shania',iliorejelewa na Chingy b alie imba kama hio iliojulikana kama 'Shania & Justin" kwakumpongeza dada yake Dj Ashanti. Nikimaliza hio ntapita naripuwa nyingine tutakayoshirikiana na Chris d ameshanikubalia tayari nasubiri ujio wake tu." Washabiki wangu wa sehemu zote,wa Buja nzima,mikoani na hatimae Kancity nawa miss sana,nafanya kazi kwanza,alafu nateremka home kufanya vitu vya kweli,mkae mkao wa kula."

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire