mardi 2 avril 2013

Ratiba ya Tamasha atakazo ziendesha AFRICA NOVA nchini Burundi...


Mwanamuziki mkongwe Mrundi RUGERINYANGE Antoine alias Africa Nova kama tulivyo wafahamisheni apo mwanzo kuwa tayari yupo nchini kwenye likizo ya takribani mwezi umoja yuko tayari kuendesha Tamasha tofauti nchini kwa niaba ya wapenzi wa mziki nchini hapa . Duru toka kwa viongozi walio anda msafara na kumuandalia Tamasha hizo wanasema ya kuwa  kuwa kwenye Tamasha zote atakazo ziendesha atashindikizwa na kundi linalo ongozwa na IRAMBONA Steven Sogo , linatambulika kama HOPE STREET - INKINZO . Ratiba imepangwa ifwatavyo :

* Ijumaa , tarehe 12/April/2013 : Concert ( VIP ) kwenye Hotel Bel Air Tarafani KIRIRI , ki ingilio : 30.000frs

* Jumaa-mosi , tarehe 13/April/2013 :  Concert ( Relax ) kwenye Bar Isango .

* Jumaa-pili , tarehe 14/April/2013 : Concert ( Populaire ) kwa niaba ya watu wote ku Musee Vivant , ki ingilio : 3000 frs.

1 commentaire:

  1. Visit us at Le Cafeier Coffee Shop Rucsa Plaza
    Buy one Pizza get one Pizza free EVERY TUESDAY and THURSDAY

    BUY ONE COMBO BURGER GET ONE COKE FREE DAILY

    RépondreSupprimer