mardi 23 avril 2013

Bruxelles : Jay Kizo toka Wakali Power auliziwa Ubelgigi (Belgique)

Msanii Jay Kizo toka kwenye kundi la Wakali Power kundi lilotikisa nchi ya Burundi miaka ya nyuma kwa upande wa mziki auliziwa nchini Ubelgigi baada yakukakaa miaka kadhaa nchini Mayotte . Duru kutoka pande zile zinasema kuwa tayari yuko mbioni kuendelesha kazi zake za mziki kwa ushirikiano tosha na Wasanii wa nyumbani apo nikizungumzia Jay Fernando mmoja kati ya Wasanii ambao wanaendelea kufatilia nyayo za kundi la 'Nigger Soul' . Utafiti unaendelea ,habari kamili hivi karibuni...

1 commentaire:

  1. Samahani, sijaelewa vizuri... Yuko wapi huyo msanii? Yuko Ubelgiji au Mayotte?

    RépondreSupprimer