Show ya kihistoria inayosubiriwa na wengi kufanyika ndani ya viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam leo, tayari jukwaa litakalotumiwa na wasanii wanne kutoka Tanzania na wale wakali wa kulishambulia jukwaa barani Afrika P~Square lipo katika maandalizi ya mwisho mwisho pamoja na kufunga mziki....
Source : GP
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire