lundi 25 novembre 2013

SICA 2013: Hongera sana CHRISTIAN NSAVYE...

NSAVYE CHRISTIAN
CHRISTIAN NSAVYE, mtangazaji wa redio Isanganiro ,redio yakibinafsi nchini Burundi ndie alishinda tunzo la Mtangazaji bora (M.C) kwenye mashindano hayo yaliyofanyika nchini Bénin,ni heshima kwa nchi yetu baada ya Steven SOGO, emelance Emy kumtanguliya kwakujinyakuliya tunzo kwenye mashindano hayo yanayoandaliwa kila mwaka nchini hapo . Burundi mwaka huu ilikuwa imewakilishwa na ALFRED & BERNARD (Nkunda abantu).

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire