Msanii wa miondoko ya bongo flava undaman ametangaa rasmi na kupost baadhi ya picha kupitiya ukurasa wake wa tweeter kuwa anataraji kuachiya audiop na video yake mpya aliyomshirikisha Ali Kibaa inayosimama na jina * Msambinugwa *. Tizama baadhi ya picha zilivyotuliya :
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire