Nicolas CAGE mwenye umri wa miaka 47 ni mcheza filamu mwenye asili ya Marekani , juzi juzi tarehe 23/9/2013 alipigwa picha akiwa na familiya yake ,mkewe ALICE Kim mwenye umri wa miaka 37 na mtoto wao wa miaka 8 Kal-El . Ripoti kutoka Los Angeles kwenye uwanja wa ndege huo alipochukuliwa picha hizo inasema kuwa anajielekeza nchini Chine kutengeneza filamu yake mpya * Outcast * na Hayden Christensen (Star Wars). Akizungumza na jarida la China Xinhua ,alisema kuwa: " Navutiwa sana na filamu za China kwasababu ni nzuri . Nina hamu yakuanza kucheza filamu hiyo kwasababu ni mara yangu ya kwanza kuchezeya pande zile ,walinifahamisha kuwa ni zowezi nzuri sana na pako chakula kizuri chenye mvuto wa hali ya juu." Alizungumza akiteremsha kicheko...
Picha akiwa uwanja wa ndege :
Picha akiwa uwanja wa ndege :
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire