|
Pichani : Florence na Cécilia... |
Wazaliwa wa Mkoa wa Ruyigi
Cécilia na
Florence waimbaji wa nyimbo za injili (Gospel) wapo ziarani Burundi toka Ijumaa tarehe 20/December/2013 . Tulipokutana nawo jana sehemu walipo walitufahamisha kuwa wanayo faraja kuona wapo Burundi nchi walipozaliwa . Ifahamike ya kuwa ujiyo wao nchini ni kuja kutembeleya kwanza familiya ambayo kipindi kirefu hawaonani nao , pili kuja kutengeneza video 4 za nyimbo walizorikodiya nchini Australia wanapo ishi .
Wataketi Burundi siku 30 wakiwa wanaizunguuka Mikoa mbali mbali ya Burundi nakutowa sapoti kwa wa Mama wajane na Watoto wasiyojiweza nchini .
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire