Dar Es salaam : Lady Jay Dee anatarajia kuachia hivi karibuni Albam yake ya sita aliyoipa jina la ''Nothing but Truth''
Mwanamuziki: Lady Jay Dee anatarajia kuachia hivi karibuni Albam yake ya sita aliyoipa jina la ''Nothing but Truth'' na miongoni mwa nyimbo zitakazopatikana kwenye Albam hiyo ni *Joto Hasira, Yahaya, Njiwa, Nimekusamehe, Historia & Tell Him *.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire