Kama tulivyowafahamisha saa mbili za nyuma ,msanii kutokea Kenya Jaguar tayari amewasili Bujumbura na yuko tayari kuendesha tamasha babu kubwa ifikapo kesho kwenye fainali ya Primusic 2013 kwenye ukumbi wa EFI NYAKABIGA kuanzia saa nane akishirikiana na Farious, Sat B , Rally Joe, Frank G80, Lolilo, Mkomboz, Yvan Muziki, Steven Sogo, Saidi Brazza na wengineo bila kusahau kundi la Black Snakes na Top Dance . Kwenye mkutano huo na waandishi habari alifurahishwa na mapokezi nakuahidi show babu kubwa kwa wale wote watakao hudhuria ukumbini . Hapo chini ni picha za mkutano kwenye Hotel Roca Golf alipofikia ...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire