Pichani : Matabaro na Baba yake mzazi |
Raia waliohudhuria walikuwa wengi sana,ni mara ya kwanza kutokea Burundi,apo ni mlangoni... |
Baada yakuimba na Jury kujumuisha alama walizozipata , walifatana ifatavyo tukianzia kuwa 6 hadi wa 1 :
Samantha alichukuwa na fasi ya 2 ,akajikusanyia milioni 5 , Mshindi wa Primusic 2013 wa kwanza ni :
Kinyume na zawadi hizo zilizotolewa ifahamike ya kuwa kabla yakuzitowa moja kwa moja Wasanii wengine walidumbwiza vyakuridhisha kama STEVEN SOGO na kundi lake la *Hope Street* , Sat b The Independant na kundi lake la *Top Dance* ,wachezaji wake wakiwa nyuma yake kila mmoja akivalia shirt ya jina lake , Lolilo na Loliane wakiwa wamevalia nguo za kijeshi . Kwa upande wa wasanii wa Burundi aliemalizia ilikuwa ni Big Fizzo ambae nayeye alishindikizwa na Wachezaji wake wa wakivalia shirt za jina lake na yeye mwenyewe akivalia nguo yaijeshi na viato vile vile . Kasheshe ilikuja kutokea baada ya JAGUAR ,mgeni rasmi wa PRIMUSIC 2013 kuingia jukwani ndipo mataa kwa upande wa ufundi yalikatwa na akawa hakuimba na Tamasha kumalizika hivo . Baadhi yawale kuwepo hapo kwenye ukarasa wa kijamii wa facebook kila mmoja aliandika yakwake na majibu yakuelekezana yakatolewa :
King Yann Cool
il y a 11 heures via mobile
Mbega Amatara y'uburundi yob yanka jaguard?
Haheze iminta irenga mirongo itatu amatara yacits.
Abant bakba btashe bsiz umuririmvyi jaguard ataririmvye.
Haheze iminta irenga mirongo itatu amatara yacits.
Abant bakba btashe bsiz umuririmvyi jaguard ataririmvye.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire