vendredi 13 septembre 2013

Primusic 2013 : Hii ndio Hotel atakayo fikia JAGUAR kutokea Kenya...Kwa jina lake halisi Charles  Njagua Kanyi a.k.a JAGUAR atawasili uwanja wa ndege Jijini Bujumbura leo hii saa tatu asubuhi . Msanii huo mmiliki wa nyimbo kama " Fanya Mambo, Furaha, Jina Langu, Kigeugeu, Nikuskize, Nimetoka Mbali, Nimevuma, Tayari, Unaniwasha ", ila alikuja kufahamika sana wakati alipotoa nyimbo * kigeu geu * iliopewa shavu na baadhi ya medias barani Africa na ulimwenguni . 
Jaguar na Raisi wa Kenya.

Jaguar tayarikisha jikusanyia tunzo tofauti kama :
-2011 Pearl of Africa Music Awards (PAM AWARDS ): Best Male Artiste (Kenya)

2. 9th Kisima Music Awards (2011):  Hit song Kigeugeu ilimfanya  Jaguar achukuwe tunzo ya *the Best Boomba Artiste award *

3. 2011 (EAMAS) Jaguar (Kenya) na Dr Claude (Rwanda) walichukuwa tunzo ya * the best male artist accolades  in East African music awards *


Atakapo tuwa Bujumbura atapokelewa na Jopo la maandalizi la mashindano ya Primusic 2013 kisha baadae ndipo atajielekeza kwenye Hotel Roca Golf atakapo fikia na ambapo ataendesha mkutano na waandishi habari ili kumwaga sera zake nakichomfanya aje Burundi kwenye mashindano hayo . Mengi zaidi kwenye habari zetu za baadae . Izo hapo chini ni picha za Hotel atakapo fikia :
Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire