dimanche 4 août 2013

Primusic 2013 : Washindi wa Mkoa wa Muramvya ni HABONIMANA GRETTA na

Gretta & Clovis Toussaint
Kama tulivyo wajulisha mapema kuhusikana na mashindano ya Primusic 2013 Mkoani Muramvya washindi wawili watakao wakilisha Mkoa wao ni pamoja na HABONIMANA Gretta ambae anazoweleka sana kwenye ulimwengu wa mziki kama Muimbaji wa karaokey , wa pili ni SINZINKAYO Clovis Toussaint ambae ni mmoja kati wachezaji wa kundi la ( Cout Sounds ) .

Black Snakes walichangamsha walio hudhuria...
Rally Joe na Sat b wali imba pamoja kwenye Jukwaa nyimbo ya Nikiza David.

 Watu wali itika walikuwa wakuridhisha vyakutosha,mashindano hayo yataendelea siku ya Jumaa-tano kwenye Mikoa ya kusini mwa Burundi.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire