Ifikapo tarehe 11 August 2013 Mwanamuziki mwenye ujuzi wa hali ya juu Jean Piere Nimbona KIDUM kwa ushirikiano tosha na baadhi ya Wasanii wa hapa nchini wamekuandalieni bonge la Tamasha linalo simama na jina la ' BUJA SUMMER FEST' ,kati ya hao wasanii watakao timuwa vumbi pako : YOYA, RALLY JOE,JAGUAR, Lion Story , Peace & Love ,Allioni . Tamasha hio imeandaliwa kama alivyotufahamisha AHMED , Manager wa mambo ya maandalizi wa KIDUM :" Tumeanda tamasha ya siku ya Jumaa-pili kwa nia moja yakuambukizana furaha , kudumisha amani , maridhiano na upendo kwa raia wa Burundi na kanda nzima ya Africa mashariki . Shaba nyingine yakuanda tamasha hio nikufurahia pamoja na waumini wa dini ya Islam kwakusherehekea siku kuu ya laidi inayosubiriwa alkhamis ao Ijumaa kwenye wiki hii tutakayoanza kesho Jumaa tatu .
Kutokana na umuhimu na ukubwa wa Buja Summer fest KIDUM na jopo nzima la maandalizi wameichukuwa fursa yakukodi bonge la Jukwaa ( Podium ) lililotumiwa wakati wa fainali ya PRIMUSIC 2013. KIDUM amekuwa Muimbaji wa pekee ambae kila mwaka hua ana anda Tamasha babu kubwa na kuwapa shavu wasanii wenza,jambo nzuri na lakupokenza. Maelezo kamili kuhusikana na tamasha hio soma bango hilo apo juu...
Jukwaa / Podium |

Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire