Jana mashindano ya Primusic 2013 yaliendelea Mkoani Bubanza ikiwa ndio Mkoa wa pili ulio orodhesha wasanii wengi baada ya Mea ya Bujumbura . Ju;la ya wasanii 58 walishindana na 10 pekee ndio waliopata fursa yakuendelea na kati ya hao 10 wakawa wamemeguliwa wasanii 2 kutokana na wizi waliokuwa walifanya wakutaka kushiriki kwenye Mkoa wa Bubanza japo ya kuwa walikuwa wameondolewa kwenye orodha wasanii 20 waliokuwa wame endesha tamasha Jumaa-mosi Mkoani Bujumbura . Binafsi wao walituzungumzia kuwa hawana kosa kwani walikuwa wanafahamu kuwa unaposhindwa kwenye Mkoa huu waweza kupambana kwenye Mkoa mwingine kitu ambacho viongozi wa mashindano ya Primusic kwa upande wa ufundi BACHIR DIa alikana nakutupilia mbali nakusema kuwa :" C'est pas permis de concourir dans deux provinces differentes." akima anisha kuwa hairuhusiwi kujiorodhesha ao kushindana kwenye mikoa 2 tofauti. Waliopambana ni pamoja na :
|
Kwenye picha hio walijificha ,hawakupenda waonekane... |
( Amissi Juma , Bigirimana Chris ndio walifutwa kutokana na kile kilicho daiwa kuwa ni wizi waliokuwa walifanya ) Walioshindana ni pamoja na : Bigirimana
Guide , Kwizera Pascal , Kwizera Walter , Mahoro Erica , Mpawenimana
Jean paul , Mujimbere Gabriel , Nikuze Floris na Masabo Aldo Guy.
Baadhi ya picha :
|
Bigirimana Chris alie taka kushindana Bujumbura na Bubanza baadae akakamatwa/ apo alikuwa Bujumbura. |
|
Top 20 kwa upande wa Bujumbura ,anae anza anaitwa Amissi Djuma amevalia kaptula yakijeshi ndie aliefurushwa Bubanza kati ya 2 waliokuwa walishiriki . |
|
Dacia (Get it) , Jojo Paparazi (B Fm) |
|
Dj Raphan (Radio Tv Salama ) |
|
Paul Emile (RTNB) |
|
AH (Radio Culture / Burundi beat) |
|
Excellent Num,Bachir Dia,Alida na Arnaud Nganji. |
|
Sat b |
|
Jumla ya wasanii 58 walijiorodhesha. |
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire