Hiyo ndiyo posta ya Tamasha itakayofanyika Mkoani Muyinga hapo tarehe 2/November/2013. Baada ya kimya kifupimsanii BIZIMANA Karoume a.k.a sat ameamuwa ku ungana na Masterland wa Ngozi kuwapa watu burudani tosha kwenye tarehe hiyo . Alitwambiya SAT B :" ooyoooo,watu wa Kamaramagambo wakae mkao wakusubiri,natimba kwenye mitindo wakuripuwa nakuwasha moto."
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire