|
SAL G |
Msanii wa kiume
SALEH GIHOZO a.k.a Sal G anae ondoka na miondoko ya
RNB nchini Burundi ameifahamisha blog yetu hii kuwa mwaka 2013 anataraji kufanya mambo makubwa tena yenye ujuzi wa hali ya juu.Ametufahamisha :" Hivi karibuni nataraji kufanya nyimbo itakao simama na jina 'Niwihebure' akipenda mungu itatoka na video yake mwezi wa 2 (february),pini hio itatengenezwa
KISU Records,video chini ya mautundu ya
A Tizo Technology ,na video itatengenezwa na
Andilair technology Films na baada ya hio nataraji kufanya colabo na mpenzi wangu MISS ERICA,nyimbo hio itaitwa 'Mbegiy love'..."
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire