Leo League ya Taifa maarufu Primus league iliendelea nchini Burundi...Tulishughudia pambano 2 kwenye uwanja wa Mwanamfalme Louis Rwagasore , matokeo ya leo :
* Jumaa-pili : Saa nane : LLB 1 - 2 Academie Tchite
Saa kumi : Muzinga 1 - 0 Messager Ngozi
Msimamo wa muda,wiki ya 10
--------------------------------------------
1. Athletico Olympic 20 points +13
2. Vital'o fc 19 points +11
* Jumaa-pili : Saa nane : LLB 1 - 2 Academie Tchite
Saa kumi : Muzinga 1 - 0 Messager Ngozi
Msimamo wa muda,wiki ya 10
--------------------------------------------
1. Athletico Olympic 20 points +13
2. Vital'o fc 19 points +11
3. Flambeau de l'Est 19 points +5
4. Lydia Ludic Bdi Academic 18 points +5
5. Muzinga 17 points -5
5. Muzinga 17 points -5
6. Royal fc 16 points +5
7. Inter stars 12 points -1
7. Inter stars 12 points -1
8. Prince Louis 12 points -2
9. Academie Tchite 12 points -6
9. Academie Tchite 12 points -6
10. Messagers 11 points -1
11. Flamengo fc 7 points -11
12. Espoirs 4 points -15
11. Flamengo fc 7 points -11
12. Espoirs 4 points -15
N.B : Inasalia wiki moja duru ya awali imalizike , ila kuna Royal ya Muramvya ndio inasalia na match mbili baada ya match ya jana kuhomba kutokana nakuporomoka kwa mlima na match hio kurushwa hadi tarehe 6/March,matc yake ya mwisho itaicheza zidi ya Flamengo ifikapo tarehe 9/March. habari ndio hio...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire