CECAFA KAGAME CUP 2010/ Vital'o Fc vs APR |
Duru kutoka kwa mchezaji mwenyewe tulipo hojiana nae aliporejea Burundi alituhamisha kuwa :" Ni faraja kwangu , iyi imekuwa timu ya pili ambayo ntajiunga nayo kimataifa baada ya Polisi ya Rwanda , nina imani ntaitumia fursa nzuri kwakamilisha ndoto yangu yakuwa Professional player ."
Police Fc ya Rwanda. |
Tunamtakia kila la kheri...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire