Jana Jumaa-tano tarehe 7/August/2013 kwenye uwanja wa Mwanamfalme Louis Rwagasore palikuwepo mchuano wa kivumbi na jasho ulio zipambanisha timu mbili vigogo ( Vital'o Fc na Inter Star ) Ulikuwa ni mchuano wa kiporo wa wiki ya 17 . Mchuano ulikuwa ni wakuvuta ni kuvute ,kipindi cha kwanza timu zote mbili zikwenda sare ya bao 2 kwa 2 .(John Girukwishaka na kaya Nkurikiye kwa upande wa Vital'o na bao la kwanza la penalti,la pili likafungwa na Aime Nzohabonayo ) Kipindi cha pili kilikuja kumalizika kama pamebaki dakika 1 mchuano umalizike Deo Ndayishimiye akaifungia bao muhimu sana timu yake kwakuonganisha mpira alio upewa na Kaya .
Matumaini ni yote kwa upande wa Vital'o baada yakujichukulia alama 3 za jana ,nani atakae chukuwa taji la msimo huu zikiwa zimesalia wiki 3.Ifahamike ya kuwa Mkufunzi Yaoundé Gilbert Kanyenkore ifikapo jumaa-pili baada ya mchuano zidi ya Atletico atapita anajielekeza nchini Rwanda kuinowa timu ya KIYOVU SPORTS, vile vile Kaze Gilbert ambae usiku waleo tarehe 8/August anazifunga pingu za maisha anatizamiwa kusafiri msiku za usoni kujiunga na SIMBA SC ya Tanzania akiwa pamoja na nahodha Tambwe Amissi . Ratiba ya michuano inakayo salia tizama hapo chini :
Msimamo wa League :

№ |
Equipe
| GD | Pts |
---|---|---|---|
1 | FLAMBEAU | 19 | 39 |
2 | VITAL’O | 24 | 38 |
3 | ATHLETICO | 21 | 37 |
4 | LLB | 15 | 37 |
5 | ROYAL | 2 | 28 |
6 | MESSAGER | 4 | 27 |
7 | INTER | 4 | 25 |
8 | TCHITE | -8 | 25 |
9 | MUZINGA | -7 | 18 |
10 | FLAMENGO | -18 | 13 |
11 | PRINCE LOUIS | -24 | 13 |
12 | ESPOIR | -32 | 5 |
Wiki ya 19 | 03-08-2013 | ESPOIR | 0 : 1 | TCHITE | |
03-08-2013 | ATHLETICO | 1 : 1 | MESSAGER | ||
03-08-2013 | FLAMBEAU | 4 : 0 | ROYAL | ||
04-08-2013 | INTER | - : - | MUZINGA | ||
04-08-2013 | PRINCE LOUIS | 1 : 3 | VITAL’O | ||
05-08-2013 | FLAMENGO | 0 : 2 | LLB | ||
Wiki ya 17 | 07-08-2013 | INTER | 2 : 3 | VITAL’O | |
Wiki ya 18 | 10-08-2013 | FLAMBEAU | - : - | INTER | |
10-08-2013 | MESSAGER | - : - | LLB | ||
11-08-2013 | VITAL’O | - : - | ATHLETICO | ||
Wiki ya 20 | 17-08-2013 | MUZINGA | - : - | PRINCE LOUIS | |
17-08-2013 | MESSAGER | - : - | FLAMBEAU | ||
17-08-2013 | ROYAL | - : - | ATHLETICO | ||
17-08-2013 | FLAMENGO | - : - | ESPOIR | ||
18-08-2013 | LLB | - : - | INTER | ||
18-08-2013 | VITAL’O | - : - | TCHITE | ||
Wiki ya 21 | 30-08-2013 | INTER | - : - | FLAMENGO | |
31-08-2013 | VITAL’O | - : - | MESSAGER | ||
31-08-2013 | ESPOIR | - : - | LLB | ||
31-08-2013 | TCHITE | - : - | FLAMBEAU | ||
01-09-2013 | PRINCE LOUIS | - : - | ROYAL | ||
01-09-2013 | MUZINGA | - : - | ATHLETICO | ||
Wiki ya 22 | 07-09-2013 | TCHITE | - : - | MESSAGER | |
07-09-2013 | ROYAL | - : - | LLB | ||
07-09-2013 | ESPOIR | - : - | PRINCE LOUIS | ||
07-09-2013 | VITAL’O | - : - | FLAMBEAU | ||
07-09-2013 | FLAMENGO | - : - | MUZINGA | ||
08-09-2013 | ATHLETICO | - : - | INTER |
Merci cher Amidou Hassan pour ces efforts que tu deploient afin de nous informer sur les resultats des differents matches du championat Primus League. Courage.
RépondreSupprimerElvis KAZUNGU.