Mpenzi wa kandanda,hususani mpenzi wa michuano ya mpira wa miguu kwa upande wa mataifa barani africa,blog yenu hii inakupeni fursa yakusoma kupitia vibao hapo chini wa historia ya mashindano ya Africa kwa upande wa timu za taifa Senior. Kwa kifupi:
-Mashindano yalianza rasmi mwaka 1957 na yanaendelea hadi mwaka huu licha ya miaka flani flani kutochezwa sababu ya vita na sababu zingine zilizo sababisha kombe hilo kutochezwa.Tunzo 3 tofauti zilishatolewa ya kwanza ilikuwa inajulikana kama Abdelaziz Abdallah Salem ilikuwa ni jina la kiongozi wa kwanza wa shirikisho hilo la CAF alikuwa ni raia kutoka nchini Misri(Egypt).Mwaka 1978 Ghana ilitwa kombe hilo na ikawa imeipata fusra yakusalia nalo. Tunzo la pili likawa limewekwa jukwani kati ya miaka ya 1980 hadi 2000,na tunzo hilo likawa linaitwa 'Tunzo la Umoja wa Africa' (Trophee de l'unite africaine),kombe hilo lilitolewa mashindanoni baada ya cameroun 'Simba wa nyika' kulitwa mara 3 mfululizo. Kuanzia mwaka 2001 Tunzo mpia liliwekwa hewani na hadi mdaa huu ndio linalo gombaniwa na nchi tofauti tofauti.
*Kuanzia mwaka wa 1957 hadi 1978 (Tunzo la Abdel salem) :
Tunzo la Abdel salem |
* Nchi zilizo shinda kombe la umoja wa Africa:
Kuanzia mwaka wa 1980 hadi 2000 :
- Cameroun - 1984, 1988, 2000
- Nigeria - 1980, 1994
- Égypte - 1986, 1998
- Ghana - 1982
- Algérie - 1990
- Côte d'Ivoire - 1992
- Afrique du Sud - 1996
Kombe la umoja wa Africa. |
kuanzia mwaka 2002 :
* Kumbukumbu za kombe la Africa (CAN):
Nchi inachukuwa rikodi yakushiriki mara nyingi:
-Misri (Egypte) (22)
Nchi zilishatwa kombe hilo mara nyingi
-Ghana na Egypte (8)
-Ghana: 1963, 1965, 1968, 1970, 1978, 1982, 1992, 2010
-Egypte: 1957, 1959, 1962, 1986, 1998, 2006, 2008, 2010
Idadi ya ushindi:
-Egypte (7) , 1957, 1959, 1986, 1998, 2006, 2008, 2010).
Nchi ilishacheza fainali nyingi mfululizo
-(Ghana 4, miaka ya 1963, 1965, 1968 na 1970).
Nchi ilishatwa mara nyingi mfululizo:
-(Egypte 3, mwaka 2006, 2008 na 2010)
Nchi ilishacheza match nyingi nakufungwa mara chache:
-Égypte (19 pamoja na kushinda mara 17, 9 mfululizo nakugawa mara 2 )
Ushinde wa bao nyingi
-Côte d’Ivoire-Ethiopie : 6-1 mwaka 1970.
Bao nyingi kwenye match moja:
-9 bao (Égypte-Nigeria : 6-3 en 1963).
Bao nyingi kwenye Kombe (CAN) moja:
-99 ( Kama bao 3,09 , kwenye CAN 2008.
Manati ya penalti yalio kuwa marefu kihistoria (CAN):
-12-11 (Côte d’Ivoire-Cameroun en 2006, 1-1 walikwenda sare ya 1-1 kwenye mdaa wakawaida wa dakika 90 na niongezo ya dakika 30).
Kombe lililo kusanya Washabiki wengi:
-735.000 mwaka 1980 ilikuwa Nigeria (Idadi ya watu 46.000 kwa pambano moja)
Match iliohorodhesha Washabiki wengi:
-Égypte-Cameroun (CAN 1986) Walishughudia Watu 120 000.
Mfungaji bora
-Samuel Eto’o (Cameroun, 18 goli).
Mfungaji bora kwenye msimo umoja wa CAN :
-Pierre Ndaye Mulamba (Jamuhuri ya Democratia ya CONGO) alifunga bao 9 buts mwaka 1974.
Wachezaji ambao walishatwa vikombe vingi:
-Essam Al-Hadary (Égypte) na Ahmed Hassan (Égypte); tunzo 4 (1998, 2006, 2008, 2010).
Mchezaji alie diriki match nyingi hadi mdaa huu:
-Rigobert Song (Cameroun) alicheza pambano 36.
Mchezaji aliecheza (Kudiriki) mashindano mengine:
-Rigobert Song (Cameroun) (kuanzia 1996 hadi 2010) Misimo 8.
Mkufunzi anaeshika rikodi ya vikombe vingi:
-Charles Kumi Gyamfi vikombe 3 tna Ghana (1963, 1965 na 1982).
Goli lilofungwa haraka sana:
-Sekunde ya 23( 23e seconde) lilifungwa na Ayman Mansour, Égypte) walikuwa wanacheza na Gabon mwaka 1994.
Mshindi wa CAN akiwa Mkufunzi na Mchezaji pia :
-Mahmoud el Gohary (Egypte, 1959 na 1998).
*Morocco mwaka 1970 na 1994,Cameroun mwaka 1994,Nigeria mwaka 1998 na South Africa mwaka 2010 (kama nchi zilizo andaa kombe la africa CAN) zilishiriki kombe la dunia mwaka umoja.
*Nchi zote ambazo zilishashiriki kombe la duni toka mwaka 1934, baadhi yazo zilishachukuwa kombe la africa kinyume na Angola,Senegal na Togo.
Magoli | Wachezaji ambao wanaongoza kwakufunga bao nyingi kwenye kinyanganyiro cha CAN. |
---|---|
18 | Samuel Eto'o |
14 | Laurent Pokou |
13 | Rashidi Yekini |
12 | Hassan El-Shazly |
11 | Hossam Hassan, Patrick Mboma |
10 | Didier Drogba, Kalusha Bwalya, Pierre Ndaye Mulamba, Francileudo Santos, Joel Tiéhi, Mengistu Worku |
9 | Abdoulaye Traoré |
8 | Pascal Feindouno, Wilberforce Kwadwo Mfum, Ahmed Hassan, |
7 | Taher Abouzaid, Ali Abugreisha, Benni McCarthy, Roger Milla, Jay-Jay Okocha, Frédéric Kanouté |
Idadi | Nchi ambazo zimeshashiriki kombe la Africa (CAN) |
---|---|
22 | Égypte |
20 | Côte d’Ivoire |
19 | Ghana |
17 | Nigeria |
16 | Cameroun, RD Congo, Tunisie, Zambie |
15 | Algérie, Maroc |
12 | Sénégal |
10 | Guinée, Éthiopie |
9 | Burkina Faso |
8 | Afrique du Sud, Mali, Soudan |
7 | Togo, Angola |
6 | Congo |
5 | Kenya, Ouganda, Gabon |
4 | Mozambique |
3 | Bénin, Libye |
2 | Liberia, Malawi, Namibie, Sierra Leone, Zimbabwe, Niger |
1 | Botswana, Guinée équatoriale, Maurice, Rwanda, Tanzanie, Cap-Vert |
0 | Comores, Djibouti, Érythrée, Guinée-Bissau, Lesotho, Madagascar, Mauritanie, Somalie, Swaziland, Tchad, Seychelles, Sao Tomé-et-Principe na Burundi. |
Mwaka | Nchi zilizo anda | Washindi(Bingwa) | Matokeo | Timu ilio fungwa kwenye fainali. |
---|---|---|---|---|
2012 | Gabon / Guinée équatoriale | Zambie | 0 - 0 (8-7 t.a.b) | Côte d'Ivoire |
2010 | Angola | Égypte | 1 - 0 | Ghana |
2008 | Ghana | Égypte | 1 - 0 | Cameroun |
2006 | Égypte | Égypte | 0 - 0 (3-2 t.a.b) | Côte d'Ivoire |
2004 | Tunisie | Tunisie | 2 - 1 | Maroc |
2002 | Mali | Cameroun | 0 - 0 (3-2 t.a.b) | Sénégal |
2000 | Ghana / Nigéria | Cameroun | 2 - 2 (4-3 t.a.b) | Nigéria |
1998 | Burkina Faso | Égypte | 2 - 0 | Afrique du Sud |
1996 | Afrique du Sud | Afrique du Sud | 2 - 0 | Tunisie |
1994 | Tunisie | Nigéria | 2 - 1 | Zambie |
1992 | Sénégal | Côte d'Ivoire | 0 - 0 (11-10 t.a.b) | Ghana |
1990 | Algérie | Algérie | 1 - 0 | Nigéria |
1988 | Maroc | Cameroun | 1 - 0 | Nigéria |
1986 | Égypte | Égypte | 0 - 0 (5-4 t.a.b) | Cameroun |
1984 | Côte d'Ivoire | Cameroun | 3 - 1 | Nigéria |
1982 | Libye | Ghana | 1 - 1 (7-6 t.a.b) | Libye |
1980 | Nigéria | Nigéria | 3 - 0 | Algérie |
1978 | Ghana | Ghana | 2 - 0 | Ouganda |
1976 | Éthiopie | Maroc | 1 - 1 | Guinée |
1974 | Égypte | Zaïre | 2 - 0 | Zambie |
1972 | Cameroun | Congo | 1 - 0 | Mali |
1970 | Soudan | Soudan | 1 - 0 | Ghana |
1968 | Éthiopie | 1 - 0 | Ghana | |
1965 | Tunisie | Ghana | 3 - 2 | Tunisie |
1963 | Ghana | Ghana | 3 - 0 | Soudan |
1962 | Éthiopie | Éthiopie | 4 - 2 | Égypte |
1959 | Égypte | Égypte | 2 - 1 | Soudan |
1957 | Soudan | Égypte | 4 - 0 | Éthiopie |
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire