dimanche 7 avril 2013

Uvira : Diamond atawasha moto Uvira tarehe 11/May/2013

Baada ya tamasha zakifahari na zenye mauzo ya hali ya juuu kwa upande wa mziki wake msanii kutokea Bongo Diamond ifikapo tarehe 11/may siku ya kumkumbuka Bob Marley atakuwa pande za Uvira nchini DRC . Kwa mu ujibu wa habari tunazo zinukulu Msanii mwenza Business man (Mr Happy) anasema kuwa :" Baada ya mimi kutuwa na Big Farious pande zile raia wa Congo wamelia sana eti wanamuhitaji Diamond namimi ilinibidi nishughulike ili nione kuwa msanii huo tuwe nae Congo ,akawa amenikubalia ila wamempa pesa nyingi mno,namkubali sana kwani anajuwa business ya mziki nini ." aliongeza :" Akipenda mungu tarehe hio tutawasha moto kwenye uwanja wa mpira Stade de l'Unite " . Mpangilio kamili soma kwenye bango hapo juu...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire