Alkhamis tarehe 11/April/2013 kwenye uwanja wa Mwanamfalme Louis Rwagasore umechezeka mchuano umoja uliozipambanisha klabu za Inter star na Espoir kutoka Mutimbuzi/Gatumba , mambano hilo ambalo lilikuwa kama lakufunguwa duru ya marudio (Phase retour) lilimalizika kwa opearesheni nzuri ya Inter Star kwakuisuka vibaya klabu hio kwa bao 3-0 nakuisababishia kusalia kwenye na fasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi . leo Jumaa-mosi Mikoani ndio walicheza pekee yao .Mjini Ngozi ,Messager ili ipokea Klabu ya Majeshi ya Muzinga nakueza kujiandikisha alama tatu kwa kuifunga bao 1-0 , Mjini Muramvya klabu ya Royal ililazimisha Flamengo bao 2-1 ,bao 2 zilizowekwa kimiani na Gentil , mshambuliaji machachari wa klabu hio . Timu 4 hazikucheza kwenye wii hii ya 12 (Phase retour) nazo ni pamoja na : Vital'o Fc , Prince Louis , Academie Tchite na Lydia Ludic Burundi Academic itakayopambana kesho saa tisa kwenye uwanja wa Mwanamfalme na Daring Club Motema Pembe mchuano wa duru ya marudiano kwa upande wa kombe la Shirikisho (Confederation Cup) , mchuano wa awali DC Motema Pembe 1-0 ,mbambano ilo lilirushwa kidogo kutokana na musba walio upata baada ya kuwapoteza wachezaji wao 3 akiwemo MWANZA aliepachika bao pekee la mchuano huo kwenye dakika ya 86 .
Matokeo ya michuano wiki ya 13 , Ratiba ya wiki ya 14 (Phase retour) :
* Alkhamis (Jeudi) , tarehe 11/April :
Saa nane : LLB Academic - Academie TCHITE (Iliarishwa kutokana na mchuano wa Kombe la CAF)
Saa kumi : Inter star 3-0 Espoir Mutimbuzi
* Jumaa-mosi (Samedi) : tarehe 13/April :
Saa tisa : Messager Ngozi 1 - 0 Muzinga
Saa tisa : Flambeau de l'Est 0-0Atletico Olympic
Saa tisa : Royal 2 - 1 Flamengo fc
* Jumaa-tano (Mercredi),tarehe 17/April/2013 : wiki ya 14
Saa nane : Prince Louis - Atletico Olympic
Saa kumi : Vital'o fc - Royal fc
Msimamo wiki ya 12
-----------------------------------------
1. Atletico Olympic 24 points
2. Flambeau de L'Est 23 points
3. Vital'o Fc 22 points (-1 match)
4. Royal Fc 22 points
-----------------------------------------
11. Flamengo
12. Espoir Gatumba

Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire