Gari aina ya Coaster , Klabu ya Rayon Sports walio ipewa na Raisi Paul Kagame alipokuwa anajichagulisha mwaka 2003 , imerudi kutumika baada ya miaka karibu 2 gari hio kuwa imesimama.
Kiongozi wa klabu hio , Murenzi Abdallah , alitangaza kuwa zawadi hio ya Raisi lazima irudi kutumika na ndio maana walifanya vyema kuitengenezesha.
Murenzi alisema kuwa :" Gari ya Rayon ivi imetoka kwenye garaje na imerudi kutumika , tumeilipia pesa milioni 4 zamanyaru , ivi gari imerudi kutumikia timu na inafanana vizuri sana ." Aliendelea anazungumza kuwa kwasasa kamati tendaji ya Klabu hio inafanya kila inachokiweza ili kuhakikisha Wachezaji wako kwenye hali yakuridhisha . Kiongozi huo aliendelea nakuomba washabiki wa timu hio kulipa pesa dola 19000 (19.000$) za Mkufunzi wao wazamani Raoul alizokuwa anadai zakulipa chini ya siku 45. Aliendelea anaomba Washabiki wazidi kununuwa kadi za washabiki .
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire