samedi 20 avril 2013

CONFEDERATIONS CUP : ASEC MIMOSAS 1 - 0 LLB ACADEMIC

Leo hii timu ya Lydia Ludic burundi academic ya Burundi ilikuwa uwanjani kumenyana na timu ya Asec Mimosas kwenye ngazi ya nane ya michuano ya kombe la shirikisho ,maarufu kombe la CAF . Duru kutoka pande zile zinasema kuwa mchuano huo ulikuwa ni  wavuta nikuvute ,kipenge chakumalizika kipindi cha kwanza kilipulizwa LLB a imeshafungwa bao 1-0 . Mwishowe dakika 90 kumalizika timu hizo mbili zilimaliza    ASEC MIMOSAS ikiandika kwenye ubao bao 1 na LLB A ikiwa haina bao . Mchuano wa marudiano umepangwa kuchezwa Bujumbura mnamo wiki 2 . Ifahamike ya kuwa mshindi wa mchuano huo moja kwa moja atajipatia na fasi nyeti yakuingia kwenye makundi .

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire