lundi 8 avril 2013

Web site ya KIDUM KIBIDO iko tayari...(www.kidumkibido.com)

Msanii mwenye uzowefu na mwenye sifa zake kwaku ukuza mziki wa Burundi nje ya nchi Jean Pierre NIMBONA Kidum yupo tayari na web site (Tovuti)  yake binafsi anayoweka kila kitu kuhusu yeye , ( mipangilio ya Tamasha , nyimbo zake , video zake , habari mbali mbali ... ) kama tunavyozowea kuona kupitia mitandao yaki jamii  Wasanii wengi wanao julikana kwa kazi zao nzuri huwa hawakosi Web site zao binafsi na ndio kwa maana hio  Mwanamuziki huo kwa ushirikiano na ndugu flani anae ishi North america alituomba tuhifadhi jina lake alijitaidi kumtengenezea kila kinacho hitajika ili web site hio iwe online . Wapenzi na washabiki wa Kidum mwaweza kuanzia leo kuingia nakupata habari nyeti kuhusikana na Msanii huo ambae siku za nyuma ameachia video yake mpia 'Impanuro' feat Rally Joe . Website ni : www.kidumkibido.com

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire