Habari ya musba : Mama yake mzazi na aliekuwa kinara wa chama madarakani CNDD/FDD Mh Hussein Radjabu amefariki jana tarehe 8/April/2013 baada ya ugonjwa wa mdaa mrefu , kifoo hicho kimetokea huku Mwanae akiwa korokoroni Mpimba . Mazishi insha'allah yamepangwa leo hii saa saba tarafani Rohero/jijini Bujumbura. Mungu ampokea mahali pema na amuondoleye adhabu za kaburini... Ifahamike ya kwamba alikuwa anaishi Mkoani Muyinga ila kutoka na maradhi hayo ambayo yalikuwa yanamtatiza ilibidi wamteremshe Bujumbura ili apate matibabu thabiti ,ila siku inakapo fika hakuna ane kuwa nauwezo wakuziwi ,'Inalillah wa ina lillah rajiun '...
Baada ya saa moja ku post habari hio kupitia mtandao waki jamii facebook , hawa ni watu walio towa comment zao na hadi mdaa huu bado wana agizi ujumbe wao wamaombolezo :
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire