Kuna tetesi kuwa timu ya rais mteule wa Kenya UHURU KENYATA iko busy kweli kweli kufanya mazungumzo na Mastaa wa muziki wa Marekani RIHANNA, NICK MINAJ na CHRIS BROWN ili waende kutumbwiza kwenye sherehe za kuapishwa kwake. Kama ni kweli bahati mbaya jitihada zao zinaweza zikaishiya sakafuni kutokana na ubusy wa Wasanii hao . Na kama wakifaanikiwa kumpata mmoja wao , hizo zitakuwa ni sherehe za kuapishwa kwa rais za nguvu zaidi katika kipindi kirefu .
UHURU KENYATA akiapishwa atakuwa rais tajiri kuliko wote africa .
Source : Bongo5
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire