mercredi 20 novembre 2013

GABY KAMANZI kutimuwa vumbi siku ya Jumaa-pili kwenye Ukumbi wa Odéon palace...

Gaby KAMANZI
Msanii wa kike wa miondoko ya Gospel GABY KAMANZI yupo Burundi akijianda na Tamasha atakayo iyendesha kwa ushirikiano tosha na wasanii wa hapa nchini ifikapo siku ya jumaa-pili tarehe 24/November/2013. Ratiba Kamili  soma kwenye bango hilo:

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire