lundi 7 janvier 2013

Belgique: -Junior The Legendary:" Niko natumika kimataifa nchini Ubelgigi..."




Msanii Nahimana Junior a.k.a Junior The Legendary,ambae ajulikana kuwa ni mdogo wake na W Dogg Msanii apo zamani alikuwa anaunda kundi moja lilokuwa likisimama na jina kama 'Nigga Soul' pamoja nawakia Big Farious nawengineo. Kwa sasa ajihushilisha na kazi zake zakibinafsi akiwa nchini ubelgigi.Tulipo chati nae kupitia mtandao wakijamii wa facebook,alitwambia kuwa :" Nimeshatumika tayari bonge la pini na mwanadada anaejulikana kwa jina la Chadia Brown kutokea Norway,pini hilo linasimama na jina  'Let me be The one ', alietengeneza beat anaitwa Christian koli ameikodi (record) kwenye studio BP Production mjini Bruxelles chini ya uongozi wa Producer Olivier Keldermans na kaddy gey."alimalizia nakusema :" Baadae niko mbioni kutengeneza Video ya pini (track) hio 'Let me be the one ' mengine zaidi ntawafamisha siku zijazo ." Ifahamike ya kwamba Msanii huo tayari ameiacha miezi 2 ya nyuma bonge la colabo aliofanya pamoja na wasanii Lenna na Romilio,pini hio inaitwa ' I'm sorry'...

    Aucun commentaire:

    Enregistrer un commentaire