mardi 24 septembre 2013

Cap Town : Huu ni ujumbe wa Dj Pro kuhusikana na ugaidi uliyofanyika KENYA...

Msanii wakizazi kipya anepatikana kwasasa Bondeni ali post kupitiya ukurasa wake wa facebook ujumbe anapo ungana na raia wa Kenya waliokumbwa toka siku ya Jumaa-mosi na jangwa la kupotezewa maisha kwenye Wastgate Center  Mjini Nairobi , aliandika :" POLENI SANA NDUGU ZETU WA #KENYA KWA MAAFA MNAYOYAPATA YA UGAIDI NA KUPOTEZA BAADHI YA WAPENDWA WENU NA WENGINE KUJERUHIWA. NAWAOMBEA KWA MUNGU WAWANUSURU WOTE WALIOBAKIA NDANI YA JENGO LA WESTGATE SHOPPING MALL.NAMPA POLE RAISI KENYATA MUNGU AMPE NGUVU KATIKA WAKATI MGUMU ALIONAO KWASASA." Dj Pro alijiunga nao kwakuitengeneza picha ikionyesha tokio hilo , hebu tizama  :

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire