Burundi kwenye mashindano ya CHAN 2014 baada ya kupangwa makundi ,imejikuta ikiwa kwenye kundi D pamoja na DRC , Mauritania na Gabon , michezo 3 ya mtowano kwa upande wa makundi itaichezeya Mjini POLOKWANE CITY,tizama kwenye picha hizo sehemu watakapo fikiya na uwanja watakaochezeya jumla ya michezo 3 ya mtoano :
Huu ni uwanja watakao chezeya michuano ya mtoano kwa upande wa kundi D |
Muonekano wa ndani/Peter Mokaba Stadium |
Apo ni kwenye Hotel watakapo fikiya / Hotel Protea |
Muonekano kwa juu / Protea Hotel |
Sehemu ya kumzikiya / Protea Hotel |
Vyumba watakavyo lala wachezaji wa Burundi. |
Uwanja wa Peter Mokoba. |
Sehemu yakufanyiya Gym |
zowezi tayari?wamekwisha ingiya kambini?
RépondreSupprimer