Timu ya LLB baada yakujishindia pambano zidi ya Klabu ya DCMP kutokea DRC kwenye ngazi ya 16 (1/16 final) kesho saa sita usiku ndipo watajielekeza nchini Ivory Coast kumenyana na ASEC MIMOSAS kwenye duru ya awali yakinyanganyiro cha kombe la Shirikisho maarufu kombe la CAF . Baada ya mmoja kati ya redio za kibinafsi nchini hapa kusota kidole tabia isisoridhisha yakutopeleka wachezaji wakuenea na kuichukuwa nafasi hio kupeleka viongozi mbali mbali ambao wako kwenye timu yao . Wizara ya vijana na michezo imeahidi adhabu kali endapo hawatoishimisha sheria hio . Tunafwatilia kwa karibu akipenda Mungu tutakudondoleyeni orodha ya Wachezaji watakao jielekeza pande zile ... Habari kamili kuhusikana na pambano lao zidi ya ASEC MIMOSAS soma hapo juu kwenye bango hilo...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire