mardi 19 novembre 2013

U.S.A : Tizama picha za Maisha Moustafa akiwa pamoja na Dj Daddy na AZIZA

Pichani :Moustafa Maisha na Dj Daddy.
Wasanii wawili wa miondoko yakikubwa MAISHA MOUSTAFA na AZIZA ambao walizoweleka sana kwenye tasnia ya muziki kwa muda huu wanakula kuku kwa mkenge Marekani baada yakupata shavu yakuendelesha maisha yako pande zile . Ifahamike ya kuwa kama mnaona kupitiya picha hizo AZIZA ni mja mzito na wote wawili wameokoka ,wanamuimbiya Mungu. Hizi ni baadhi ya picha MAISHA MOUSTAFA alizoweka hadharani kupitiya mtandao wake wakijamii wa Facebook akiwa pamoja na Dj DADDY aliezoweleka sana nchini kupitiya ' KUKIRIMBA ARTS na HAVANA NIGHT CLUB', kwenye picha hizo walikuwa wageni rasmi kwenye harusi ya rafiki yao GiamPaolo :

 

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire