Huu ni ujumbe wa Diamond Platnumz kupitiya ukurasa Wake wa Twitter : " Naamini ipo siku nasi Tanzania tutasimama Vyema Katika ramani hii ya muziki Worldwide na kuipa sifa na Heshima zaidi East Africa yetu.... Eeeh Mwenyez Mungu ibariki Tanzania, ibariki East Africa na Africa yetu kwa ujumla.... #LastNight #Onset #NumberOneRemix #DiamondFtDavido #ClarencePeterBehindTheCamera "
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire