jeudi 14 novembre 2013

CECAFA : Wachezaji 18 wa Intamba Murugamba watakao jielekeza nchini kenya...

Timu ya taifa wakiwa mazoezini.
Hapo jana tarehe 13/November/2013 ndipo Wakufunzi Lotfy Mohamed NASEEM na naibu Wake NIYONGABO Amars walitangaza rasmi orodha ya wachezaji 18 watakaojielekeza nchini kenya kuchuana michuano ya CECAFA CHALLENGE CUP.

1. ARAKAZA Mc Arthur
2. RUGUMANDIYE Yvan
3. HARERIMANA Rashid
4. HAKIZIMANA Issa Vidic
5. NSABIYUMVA Frédéric
6. HAKIZIMANA Hassan L'Homme
7. NDIKUMANA Yussuf Lule
8. DUHAYINDAVYI Gaël
9. NDUWARUGIRA Christophe Lucio
10. HABONIMANA Célestin
11. ABDUL RAZZAK Fiston
12. HAKIZIMANA Pascal
13. NKURIKIYE Léopold
14. NAHIMANA Chassir
15. SHABANI Hussein Tshabalala
16. NDUWIMANA Jean
17. NDARUSANZE Claude
18. MOUSSA Mossi Hadji
Ifahamike ya kuwa kulingana na ratiba ya safari ,wachezaji na watakao washindikiza  wamepangwa kusafiri ifikapo tarehe Jumaa-pili tarehe 24/11/2013 kuelekeya Kenya kwani kipenge kimepangwa kupulizwa ifikapo tarehe 27/11/2013.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire