mercredi 27 février 2013

Confederations Cup : Wachezaji 17 wa LLB AC.waliojielekeza Rwanda kuchuwana na POLICE...

Leo hii saa nane mchana majira ya Burundi ndipo kikosi chawachezaji 17 wa timu ya Lydia Ludic Burundi Academic wame elekea Jijini kigali , nchini Rwanda kuchuana na timu ya Police fc ifikapo Ijumaa-mosi kama hapatakuwepo mabadilko na match kuihamisha Ijuma-pili. Kwa habari tulizo zipata ni kuwa wamepumzikia Jijini Ngozi alafu kesho asubuhi ndipo watajielekeza moja kwa moja Jijini Kigali . Ikumbukwe kuwa kwenye match ya awali LLB nyumbani ili ilazimisha Police kutoka Rwanda kwa bao 1-0 bao lilowekwa kimyani na NDARUSANZE Claude.

Orodha ya Wachezaji 17 waliojielekeza nchini Rwana ni pamoja na :

1. NYABENDA Athanase
2. EPIMACK
3. KIZA Fataki
4. RASHID Leon
5. RUGONUMUGABO Stephane
6. ISSA
7. BONNE IDEE
8. IDI Saidi Djuma alias Ballack
9. NDIKUMANA Yussuf alias Lule
10. BOLIMA Matembe Type
11. KAYUMBA
12. DUHAYINDAVYI Gael
13. Jackson
14. Paul
15. NDARUSANZE Claude
16. BANGAMA
17. FREDDY

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire