mercredi 30 janvier 2013

Guep 2 :" Karibuni tuambukizane furaha..."



Mwanaharakati wa hip hop toka nchini burundi NIBITANGA Julien a.k.a Guep 2,mtu wa zambi kwa ushirikiano na Wasanii wenza toka kwenye kundi la 'Hip hop family' amekuandalieni bonge la Tamasha ifikapo siku ya Wapendanao tarehe 14/February/2013( Valentin day) sehemu pajulikanapo kama La KINOISE/tarafani Kamenge . Msani huo tulichukuwa na fasi nyeti yakumu uliza kwanini alipendelea Kamenge na imekuwa vipi yeye kama Msanii ambae yupo katika mkumbo wa wasanii wanakao foka foka wanakapokuwa wanaimba aandae tamasha la Wapendao ?( Concert Menya ko Ngukunda),alitujibu :" Nimeamuwa kufanyia Kamenge kwani ndipo nilipokomalia ,kamenge ni sehemu moja wapo iliokumbwa na janga la vita kali tukizungumzia makabila,watu wengi walipoteza maisha sasa kama siku ya wapendanao tulifkiri tukaona kuwa yaweza kuwa vyema kuwaandalia kitu ambacho kitakuja kimeshiba namna hio ili tudhihirishe upendo ambao upo kati ya Watu wa Kamenge hususani Kaskazini nzima. Ukiwa unaimba kwakufoka haina mana kuwa kwamba huwezi kutowa ujumbe wa mapenzi kupitia nyimbo unakazo zitowa. natowa wito kwa raia toka pande zote waje tuambukizane furaha siku hio mambo yote yatakuwa sawa kwani sehemu hio tutakapo rusha roho watakaohudhuria  imerekebishwa kwa muda huu iko shwari,msikosi basi kufika..." Ifahamike kuwa atashindikizwa na Waimbaji kama:
-Karara kim
-Rally Joe
-Miss Nono
-J Fire
-Bizzo Uwezo
-Anitha White
-Dr Jay
-Samandari
-King Naay
-Bidondo
-Key Game

Watakuwepo vile vile watakao cheza live (Dancers),kundi la Bad Snake,Boys 2 men,Black Star na Top Girls. Habari kamili soma bango hilo apo juu...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire