FESPAD maonyesha ya muziki wakiafrica yanayojiri kila mwaka nchini Rwanda,mwaka huu yatakuwa yameingia kwenye mwaka wake wa 8. Maonyesho hayo maarufu kama FESPAD yataanza rasmi tarehe 23/2 hadi tarehe 2/3/2013 Jijini Kigali kwenye uwanja wa AMAHORO . Hadi mdaa mdaa huu nchi za Africa 10 ndizo zitashiriki nazo ikiwa pamoja na : Tanzania, Egypt, Uganda, Cameroun, Namibia, Liberia, Madagascar, Burundi... na Rwanda wenyeji. Kwakufungua rasmi maonyesho hayo, Rwanda imempa shavu Msanii kutokea pande za Marekani mkali wa Dancehall BEENIE MAN.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire