Kikosi cha Vital'o fc (picha ya mwaka jana). |
Week-end hii ya tarehe 19 na 20/January/2012 ligi ya taifa nchini Burundi ilishika kasi ikiwa kwenye wiki yake ya 6 (6eme Journee). Timu zilifanya vyema kutoka eneo za hatari nakucukuwa na fasi zajuu apo ni mfano kama Vital'o fc na Atletico zilipiku na fasi za juu baada yakushinda michezo miwili ya nyuma .
Matokeo
-----------
*Jumaa-mosi,Tarehe 19/january/2012 :
Bujumbura:
-Saa nane : Atletico olympic 4-1 flamengo fc
-Saa kumi : Lydia Ludic Burundi Academie 3- 0 Prince louis
Ngozi :
-Saa tisa : Messager Ngozi 2-0 Royal (Uwanja Urukundo/Buye) ,
Ruyigi :
-Saa tisa : Flambeau de l'Est 4-1 Espoir .
*Jumaa-pili,Tarehe 20/January/2012 :
Bujumbura (Uwanja wa Mwana mfalme Louis Rwagasore)
-Saa nane : Muzinga 1-1 Academie tchite
-Saa kumi : Inter Star 1-3 vital'o fc
Msimamo wa ligi (Wiki ya sita)
-----------------------------------------
Na fasi
|
Timu
|
Idadi ya match
| Points |
Mizani ya mabao
|
1
|
LLB Academic
|
6
|
14
|
+8
|
2
|
Flambeau de l’Est
|
6
|
14
|
+6
|
3
|
Athletico Olympique
|
6
|
10
| |
4
|
Vital’O fc
|
6
|
10
| |
5
|
Royal FC
|
6
|
9
| |
6
|
Academie Tchité
|
7
|
9
| |
7
|
Prince Louis
|
6
|
9
| |
8
|
Muzinga
|
6
|
8
| |
9
|
Le Messager Ngozi
|
6
|
7
| |
10
|
Inter Star
|
6
|
7
| |
11
|
Espoir
|
7
|
3
| |
12
|
Flamengo
|
6
|
0
|
Ifahamike ya kuwa mwishoni mwa wiki hii ligi itaendelea,na vile vile kuwapenzi wa habari za kandanda tungeliwafahamisha kuwa timu ya Musongati ya Muyinga siku ya jumaa-mosi ilifungwa bao 1 kwa 0 zidi ya Kagera Sugar kutokea Tanzania,ilikuwa ni match yakujipima nguvu kwa timu hio kwani ina imani ya kuwa mwakani itakuwa imerejea daraja la kwanza . Habari ndio hio...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire