Baada yakuwakamuwa vyakutosha washabiki toka pembe zote za Bujumbura,Msanii Big farious ameweka bayana gahunda ya kwanza mikoani. Ametwambia:" Na anzia Mkoani Makamba,ndipo familia yangu inapo ishi,na nimependelea kutimuwa vumbi na Msanii mwenza nae ikiwa simungine bali ni Mkali wa show,Mzee wakuwakubalisha...Nautowa ujumbe wa rambi kwa watu wapande zile 'Mjiandae kwani tunakuja kijeshi jeshi lazima tuwakamuwa vyakutosha." Mpangilio mzima soma bango hilo...
jeudi 31 janvier 2013
Big Fizzo & Mr Happy:" Mikoani mjiandae..."
Baada yakuwakamuwa vyakutosha washabiki toka pembe zote za Bujumbura,Msanii Big farious ameweka bayana gahunda ya kwanza mikoani. Ametwambia:" Na anzia Mkoani Makamba,ndipo familia yangu inapo ishi,na nimependelea kutimuwa vumbi na Msanii mwenza nae ikiwa simungine bali ni Mkali wa show,Mzee wakuwakubalisha...Nautowa ujumbe wa rambi kwa watu wapande zile 'Mjiandae kwani tunakuja kijeshi jeshi lazima tuwakamuwa vyakutosha." Mpangilio mzima soma bango hilo...
Inscription à :
Publier les commentaires (Atom)
mafanikio mema
RépondreSupprimernawatakia mafanikio mema
RépondreSupprimer