Hizi ni baadhi ya picha zilizochukuliwa na jopo ya watangazaji wa GLM mchana wa leo kwenye ghafla iliyokuwa imeandaliwa na Restaurant Mr Chieps kwakumpa mchango msanii MKOMBOZ wakuwapa mlo kwa wale wote aliyoshirikiyana kwenye Tamasha ya uzidunzi wa nyimbo yake mpya * UMUBANYI WANJE* . Fahamu ya kuwa tamasha ilifanyika ila watu hawakuwa wengi sana. Wasanii kama wote waliyoandikwa kwenye bango la Tamasha hiyo walikuwepo. Alipo imba nyimba nyimbo hiyo kwenye nyuso za waliyokuwepo hapo zilikuwa zenye faraja. Nyimbo hiyo ilitengenezwa na Amirr Pro,sauti za watu tofauti ziliskilizika kama : Davy Carmel (Bonesha Fm) , Uncle Crazy , Ariane aliyekuwa anaitikiya... Tulipohojiana naye alitufahamisha kuwa :" Nina imani kuwa pini yangu ita hit sana kwani ujumbe tuliyo utowa unatuhusu sote ."
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire