mercredi 30 octobre 2013

STEVEN SOGO na Hope Street wauliziwa Yaounde/Cameroun kwenye Festival 'Le Koratier'

JPEG - 113.4 ko
Usiku wa  Jumaa-tatu tarehe 28/10/2013 ndipo Steven SOGO na kundi lake HOPE STREET wamepanda pipa saa ine usiku nakuelekeya nchi Cameroun kushiriki kwenye Festival 'Le Koratier' itakayofanyika Mjini Yaounde . Festival hiyo inamulikwa kuanza leo hii hadi tarehe 2/11/2013 . Duru tulizozipata kwa msanii huo ni kuwa kwenye Festival hiyo watapa na fasi yakuimba nakushiriki kwenye baadhi ya mikutano itakayo endeshwa kwa shaba yakusongesha mbele tasnia ya mziki barani afrika . Fahamu vile vile yakuwa Festival hiyo ilianza rasmi mwaka 1999 Jijini Douala hadi mwaka 2012 ,mwaka huu ndipo walifkiriya Yaounde Mji mkuu . Mwaka jana Alfred na Bernard watakao jielekeza Benin kwenye SICA ndiyo walikuwa wabalozi wa Burundi Jijini Douala .

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire