KIGOMA ALL STARS live in bujumbura hapo tarehe 1 December 2013
Wasanii waliotamba na wanaozidi kutamba nchini Tanzania wanaojumuika pamoja kwenye kundi la Kigoma All stars wanatimba Bujumbura ifikapo tarehe 1/December/2013 kwenye ukumbi wa shule la wafaransa.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire