jeudi 17 octobre 2013

Kigali : Sikiliza nyimbo * Fake friends * ya Chrispin (Lyrics)




NGABIRAMA Chrispin ni msanii wa mitindo ya reggae akiwa muimbaji,mtunzi na muandishi vile vile kutokeya pande za Rwanda , msanii huyo wa kizazi kipya anatamba sana na pini zake ambazo zinaacha wapenzi wa style hizo hoyi kwa ujumbe mkali anao utumiya kwakushauri nakukosowa baadhi ya mambo nchini mwake na bara la africa kwa ujumla . Hivi karibuni ameiyacha ngoma yake mpya inayokweda kwa jina la * Fake friends *,mbele ya hiyo alitamba sana nyimbo kama : " Bamenye ambayo iko na video , Africa moment na Oh Congo " ebu sikiliza Fake friends :


Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire